Share

Khalwale awalaumu Musalia Mudavadi na Wetangula | SIASA ZA BBI

Share this:

Siku Moja Baada Ya Kukamilika Kwa Mkutano Wa BBI Mjini Kakamega Kiranja Wa Bunge Benjamin Washiali Amejitokeza Na Kusema Kuwa Hakuwa Ametekwa Nyara. Ila Alikimbia Baada Ya Maafisa Wa Polisi Kufurika Kwake. Wakati Huo Huo Baadhi Ya Viongozi Wa Mrengo Wa Tanga Tanga Wakidai Washiali Aliwakimbia. Kauli Ya Katibu Wa Cotu Kuwashinikiza Musalia Mudavadi Na Wetangula Kuvunja Vyama Vyao Na Kuanzisha Chama Kimoja Cha Jamii Ya Waluhya Ikiibua Hisia Kali.

#Kenya #KTNNews #KTNPrime

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment