Share

Kesi ya ugavi wa fedha kusikilizwa tarehe 31 Julai

Share this:

Rais wa mahakama ya upeo nchini David Maraga ameatoa uamuzi kuwa kesi iliyowasilishwa na baraza la magavana kuhusu ugavi wa fedha za bajeti ya taifa kusikizwa alhamisi ya tarehe 31. Hii ni baada ya muda uliotolewa na mahakama kwa minajili ya masikizano baina ya serikali za kaunti na serikali kuu kuisha bila mwafaka kupatikana

Leave a Comment