Share

Kesi ya naibu jaji mkuu Philomena Mwilu kuanza

Share this:

Kesi ya ufisadi inayomhusu naibu jaji mkuu Philomena Mwilu inasikizwa kuanzia leo. Hiyo jana mkurugenzi wa mashtaka Noordin Haji alisema kuwa kiongozi maalum wa mashtaka wakili Khawar Qureshi atafika mahakamani na kuendesha kesi kesi hiyo. Tutakuletea moja kwa moja yatakayojiri mahakamani lakini sasa tuungane naye Sam Gituku kwa taarifa hii kuhusu kesi hiyo.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment