Share

Kero ya utendakazi wa mahakama: Wakazi Mombasa waandamana kulalamikia ufisadi

Share this:

Wakaazi wa Mombasa waliojawa na ghadhabu mapema Alhamisi waliandamana wakilalamikia ufisadi katika mahakama ya Mombasa ambao unachangia kulemaza vita dhidi ya mihadarati.

Wakaazi hao waliandamana hadi katika hoteli moja ambako jaji mkuu David Maraga na maafisa wengine wakuu katika idara ya mahakama walikuwa wamekongamana.

Kama anavyotueleza Ahmed Juma Bhalo, walinzi wa Maraga hata hivyo, walimzuia kusemezana na waandamanaji hao.

Leave a Comment