Share

Kenyatta atangaza watumishi wa umma kuchunguzwa hali yao ya maisha

Share this:

Rais Uhuru Kenyatta amesema kwamba atatangaza kukaguliwa kwa hali ya kimaisha ya maafisa wakuu serikalini, akianza na yeye binafsi.
Rais anasema itawalazimu kutangaza wazi walivyojipatia mali yao la sivyo wafungwe.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa barabara ya dongo kundu kaunti ya mombasa, rais aliyemsalimia gavana Joho kwa mikono alidokeza umuhimu wa viongozi kukoma siasa na badala yake kuwatumikia wakenya.

Leave a Comment