Share

Kenya yalaumu mataifa ya EAC kwa kuendeleza ulinzi wa kibiashara

Share this:

Mataifa wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki yametajwa kuchukuwa  hatua za ulinzi kulinda viwanda vyao vidogo vidogo.
Hii ni kulingana na muungano wa mashirika ya utengenezaji bidhaa nchini, KAM.
Kulingana na takwimu za utafiti wa kiuchumi za mwaka wa 2018, bara la afrika lilichangia asilimia 37.7 ya mauzo ya nje mwaka uliopita, ikiwa ni upungufu wa asilimia 40.6 ikilinganishwa na mwaka uliotangangulia.
hali hii inasemekana kutokana na  kupungua kwa mauzo ya nje katika jumuiya ya Afrika Mashriki ambayo kwa kawaida huchangia zaidi ya asilimia 50 ya mauzo ya nje barani kote.

Leave a Comment