Share

KCSE YAENDELEA VEMA : Waziri Amina asema hakuna kisa cha udanganyifu kilichoripotiwa

Share this:

Shughuli za mtihani wa kitaifa wa KCSE kote nchini ziliingia siku ya nne hii leo , huku waziri wa elimu amina mohamed akisema kuwa kila kitu ki shwari.
Aidha kuna watu kadhaa wakiwemo wanafunzi ambao wamekamatwa na hata kufikishwa mahakamani baada ya kujaribu kushiriki udanganyifu

Leave a Comment