Share

Kaunti 43 zaripotiwa kukosa vyoo vya kutosha na kuwalazimu wakazi kwenda haja katika maeneo wazi

Share this:

Kaunti 43 zimeripotiwa kukosa vyoo vya kutosha na kuwalazimu wakazi kwenda haja katika maeneo ya wazi. Itabidi serikali kujizatiti zaidi ili kuafikia lengo la nchi hii kutangazwa kuwa eneo ambalo watu hawaendi haja katika maeneo ya wazi kufikia mwaka wa 2030. siku ya vyoo duniani iliadhimishwa katika kaunti ya Kisumu.
Connect with KBC Online;
Visit our Website – http://www.kbc.co.ke/
Follow KBC on Twitter – https://twitter.com/KBCChannel1
Find KBC on Facebook – https://www.facebook.com/kbcchannel1news/
Follow KBC on Instagram – https://www.instagram.com/kbcnews_/
#KBCNewsHour

Leave a Comment