Share

Kauli za wakurugenzi wa mashtaka : Noordin Haji asema atazidi kukaza kamba

Share this:

Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma Noordin Haji amesema kuwa afisi yake iko mbioni kubadili njia ya kukabiliana na washukiwa wa ufisadi kwa kufuatilia mtiririko wa jinsi fedha zilifujwa,kutumika na kisha mali iliyoibwa kutwaliwa na serikali.
Amesema haya alipokutana na mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma kutoka uingereza max hill ambaye anazuru Kenya na hasa eneo la Afrika Mashariki kwa mara ya kwanza.

Leave a Comment