Share

Kauli ya wakenya kuhusu ripoti ya maridhiano

Share this:

Wakenya wana matarajio mbali mbali kuhusu ripoti ya jopo la madhiriano BBi itakayozinduliwa kesho katika ukumbi wa BOMAS. Rais Uhuru kenyatta na kinara wa ODM Raila Odinga watakabidhiwa ripoti hiyo na kuiweka wazi kwa umma. Jopo hilo liliteuliwa na viongozi hao wawili ili kutafuta suluhu ya ghasia za kila baada ya uchaguzi mkuu nchini pamoja na kutafuta mbinu mwafaka za kumaliza migawanyiko pamoja na ufisadi.

Leave a Comment