Share

Kasisi akamatwa kwa kuwadhulumu kimapenzi wanafunzi 18

Share this:

Polisi katika kaunti ya Nakuru wanamzuilia kasisi mmoja kwa tuhuma za kujihusiha na ngono na wanafunzi 18 kutoka shule ya msingi ya Lenana.
Inadaiwa kuwa mshukiwa huyo Tom Musubili anayemiliki duka la kuuza filamu karibu na shule hiyo aliwahadaa watoto hao wa kike na wakiume, kwa kuwapa pesa alafu kuwashurutisha kutazama naye filamu za ngono na baadaye kuwashirikisha kwenye kitendo hicho pamoja na mwanamke mwenye akili punguani anayeshukiwa kuishi na kasisi huyo.

Leave a Comment