Share

Kasheshe za mtaala mpya : Jopokazi la watu 17 labuniwa

Share this:

Waziri wa elimu Prof George Magoha hii Ijumaa ameteua jopo la wanachama 17 litakaloshughulikia kutekelezwa kwa mtaala mpya. Mtaala huo uliozinduliwa mapema mwaka huu umekumbwa na pingamizi nyingi haswa kutoka kwa muungano wa walimu, KNUT.

Leave a Comment