Share

Kasheshe za huduma namba

Share this:

Kama ilivyo desturi kwa wakenya kusubiri hadi dakika za mwisho kila wanapohitajika kuhusika zoezi lolote lile la kitaifa , hii leo wamefurika maeneo ya usajili wa huduma namba zikiwa zimesalia siku mbili tuzoezi hilo kukamilika.Baadhi yao sasa wanaiomba serikali kuongeza muda wa kujisajililicha ya waziri wa usalama wa ndani Dkt Fred Matiangi kusema wazi kwamba serikali haina mpango wa kuongeza muda huo.

Leave a Comment