Share

Kapu la bunge : Miswada kadhaa inasubiri kujadiliwa

Share this:

Kupasishwa bajeti ya ziada, kuamuliwa tarehe ya kupigiwa kura mswada wa usawa wa jinsia na kujadili mapendekezo ya kuifanyia mageuzi tume ya iebc ni masuala yatakayoangaziwa zaidi kuanzia Jumanne hii, bunge litakaporejelea vikao vyake.
Kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Aden Duale na mwenzake wa wachache John Mbadi wanasema pia watajadili suala la sensa itakayofanyika mwezi Agosti mwaka huu
Caleb Ratemo amefanya mazungumzo ya kipekee na Duale na mbadi ambao pia wamepuzilia mbali madai ya kuwepo mgawanyiko baina ya wabunge wa Jubilee.

Leave a Comment