Share

Kampuni ya bima ya Madison yataka madaktari kupendekeza dawa za bei nafuu

Share this:

Kampuni ya bima ya Madison imetoa pendekezo kwa madaktari kuwapa wagonjwa wenye kutumia huduma zao dawa za bei nafuu ili kupunguza gharama ya huduma za afya zinazotolewa kwa wateja wao. Katika barua ambayo kampuni hiyo ilituma kwa taasisi zinazotoa huduma kwa wateja wao, naibu wa meneja, John Muhindi, aliomba madaktari kuwaelimisha wateja kuhusu hatua hiyo ili kusaidia kampuni hiyo kupunguza gharama.

Leave a Comment