Share

Kampuni tano zajiondoa katika soko la hisa la Nairobi

Share this:

Hakujakuwa na shughuli nyingi katika siku za hivi majuzi katika soko la hisa la Nairobi .Katika kipindi cha miaka minne iliyopita ,soko hilo halijavutia idadi kubwa ya wawekezaji wapya.Tayari kampuni tano zimejiondoa katika soko hilo, na juhudi za kampuni nyingine mbili za Unga na Express Kenya pia kujiondoa zilisambaratishwa na wenye hisa.Na ili kubadilisha hali hiyo,soko hilo pamoja na wakala wake limebuni jukwa kwa jina Ibuka,kutoa mwongozo kwa kampuni zinazotaka kuorodheshwa
Connect with KBC Online;
Visit our Website – http://www.kbc.co.ke/
Follow KBC on Twitter – https://twitter.com/KBCChannel1
Find KBC on Facebook – https://www.facebook.com/kbcchannel1news/
Follow KBC on Instagram – https://www.instagram.com/kbcnews_/
#KBCNewsHour

Leave a Comment