Share

Kampeni ya kuzuia ulanguzi yashika kasi Mombasa

Share this:

Shirika moja la kijamii lililoko kaunti ya Kwale linaloshughulikia masuala ya kurekebisha tabia za waraibu wa dawa za kulevya maarufu Teens Watch, linataka vita hivyo kuelekezwa kwa walanguzi bali si watumizi. #SemaNaCitizen

Leave a Comment