Share

Kamera za CCTV zamwonyesha mama aliyeuawa na wanawe watatu

Share this:

Jumatatu wiki iliyopita taarifa ilipeperushwa kwamba baba mzazi alikuwa amemuua mpenziwe na wanawe watatu katika mtaa wa marurui eneo la Roysambu Nairobi.
Mwanahabari wetu Franklin Wallah, amekuwa akifuatilia taarifa hiyo na kupata picha za kamera za siri za CCTV ambapo mwanamke huyo anaonekana akiwa na mwanamume asiyejulikana akiwa amelewa chakari picha ambazo huenda zikabadili mwelekeo wa uchunguzi ambao umekuwa ukiendelea.

Leave a Comment