Share

Kachero Jambazi? DCI wapata agizo la kumkamata

Share this:

Maafisa wa upelelezi wa jinai wamepata agizo la mahakama la kumtia nguvuni mpelelezi wa kibinafsi jane Wawira Mugo.
kulingana na idara ya DCI,Wawira anatuhumiwa kuhusika katika visa kadhaa vya uhalifu vikiwemo wizi wa mabavu,kujifanya polisi na hata kutishia maisha ya wengine.

Leave a Comment