Share

#K24Wikendi Gumzo Hapa Ndipo (pt1)

Share this:

Nipe nikupe kati ya maseneta na magavana wakati wa kupigwa msasa na kujibu maswali kuhusu matumizi ya pesa kwenye kaunti inaonekana kuendeleza mzozo baina yao huku magavana wakishikilia kuwa wanawajibikia wakaazi wa kaunti zao.
Magavana wamelalama kuwa maseneta wanatumia nafasi hiyo kuendeleza siasa zao, baadhi wakitumia fursa hiyo kujipigia debe kwa uchaguzi mkuu ujao.

Leave a Comment