Share

Jumba la Ukay Centre labomolewa jijini Nairobi

Share this:

Zoezi la ubomoaji wa majengo yaliyokaribu na mto Nairobi na chemichemi za maji umeendelea leo huku kituo cha kibiashara cha Ukay mtaani Parklands kikibomolewa.

Kinyume na jinsi shughuli ya ubomoaji ilivyoendeshwa katika kituo cha biashara cha Southend ambapo wafanyabishara waliruhusiwa kuondoa mali yao, wengi wamepoteza mali yao kwani hakuna aliyeruhusiwa kutoa mali yake kwenye jengo hilo.

Leave a Comment