Share

Jubilee matatani : Mkutano wa chama huenda usiwepo karibuni

Share this:

Huenda hakutaandaliwa mkutano wa wanachama wa chama cha Jubilee hivi karibuni hasa baada ya baadhi ya wabunge kumtaka rais Uhuru Kenyatta kuitisha mkao na wajumbe wa chama.
K24 saa moja imebaini kuwa mtafaruku unaoendelea kati ya katibu wa chama Raphael Tuju na baadhi ya wajumbe wanaounga mkono azma ya naibu wa rais Dkt William Ruto huenda ukatatiza pakubwa kuafikiwa kwa mkutano huo wa wajumbe al maarufu kama “Parliamentary Group Meeting.”

Leave a Comment