Share

Joash Onyango mchezaji bora wa KPL

Share this:

Mlinzi wa timu ya Gor Mahia Joash Onyango ameteuliwa kama mchezaji bora wa ligi kuu msimu wa 2018/2019. jopo la wanahabari wa michezo pamoja na kampuni ya lg lilimteuwa onyango kama mlinzi bora pamoja na mchezaji bora.

Leave a Comment