Share

JINAMIZI LA UBAKAJI: Mama aliyeathirika awasaidia waathiriwa

Share this:

Mtazamaji hebu tafakari haya, mwanamke kubakwa na wanaume 4 akiwa na umri wa miaka 16 na kukaa kimya kwa muda mrefu kiasi cha kujaribu kujitia kitanzi mara tatu.
Basi haya ndiyo masaibu ya Pauline Juma ambaye aliishia kujikakamua na kuanzisha wakfu wa kuwasaida wasichana waliobakwa angalau kuwapa sauti.

Leave a Comment