Share

Jiji la kunyoosheana kidole: Guyo amlaumu Sonko kwa masaibu

Share this:

Aliyekuwa kiongozi wa wengi kwenye bunge la kaunti ya Nairobi Abdi Guyo, amemsuta gavana wa Nairobi Mike Sonko kuwa yeye ndiye chanzo cha migogoro kwenye bunge la kaunti .
Akizungumza mbele ya kamati ya seneti kuhusu ugatuzi, anadai, masaibu ya kung’atuliwa kwake yanatokana, na ukakamavu wake kutetea haki za wanaodhulumiwa kwenye kaunti chini ya uongozi wa Sonko.
Sonko kwa upande anadai, Guyo amekuwa kwenye njama ya kumharibia jina kwa tume ya EACC.

Leave a Comment