Share

Je serikali “imesota?”: Wizara ya fedha yakutana na SRC

Share this:

Tume ya  mishahara nchini, SRC inaonekana kukabwa koo na mfumuko wa gharama ya mishahara ya wafanyikazi wa umma huku serikali ikiamua kuzishinikiza idara zake zote kuchangia katika kuendeleza ajenda zake nne za maendeleo
 
Wizara ya fedha imefanya mkutanao wa dharura na SRC wa siku tatu kutafuta suluhu ya kupungza gharama hiyo ya mishahara na matumizi kwa miradi ya maendeleo huku kenya ikipewa onyo kuhusu kuendelea na mikopo kutoka ughaibuni.

Leave a Comment