Share

Janga la maporomoko: Watu 3 akiwemo mtoto waokolewa Tasia

Share this:

Idadi ya watu waliofariki kufuatia kuporomoka kwa jumba mtaa wa tasia nairobi imefikia watu 7 huku watu 22 wakiwa bado hawajulikani waliko, huku watu 35 wakiokolewa.
Haya yanajiri huku mvua kubwa ikiendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali humu nchini na kusababisha vifo na uharibifu wa mali.

Leave a Comment