Share

James Mwangi akosa ajira licha ya kuhitimu katika elimu

Share this:

Someni vijana, mtapata kazi nzuri sana. Maneno hayo ni sehemu ya wimbo mmoja maarufu humu nchini lakini uhalisi wa mambo sasa ni kwamba vijana wengi hawapati ajira walizotarajia baada ya kumaliza masomo vyuo vikuu. Mmoja wao ni James Mwangi mwenye umri wa miaka 29, ambaye alihitimu na shahada ya bayolojia na Kemia

Leave a Comment