Share

JAHAZI LA SONKO LAZAMA? : Mawakilishi wa wadi 50 wakutana

Share this:

Siku mbili tu baada ya Gavana  wa kaunti ya Nairobi, Mike Sonko kupewa makataa ya kutofika kwa ofisi yake na hakimu mkuu wa Mahakama ya Milimani, hii leo takribani wawakilishi 50 wa wadi wamekongamana katika hoteli moja Kiambu kutafuta mwafaka.

Leave a Comment