Share

Inspekta Jenerali aizindua ”OB” dijitali

Share this:

Inspekta  jenerali  wa polisi Hillary Mutyambai amezindua mfumo wa kielektroniki ya kuripoti  kesi katika vituo vya polisi almaaruf  OB .
 Uzinduzi huo uliofanyika usiku wa kuamkia leo, unanuia kurahisisha kazi kwa wote , huku zoezi hilo ikitarajiwa kukamilika baada ya miezi sita katika vituo vyote  vya polisi kote nchini .

Leave a Comment