Share

Inadaiwa wananchi waliopora mali Sudan Kusini wanajificha Nairobi

Share this:

Wananchi wa sudan kusini wanaoishi hapa nchini pamoja na baadhi ya wananchi wa kenya wamekuwa na maandamano ya amani leo jijini Nairobi kupinga shughuli za badhi ya benki humu nchini ambazo zimehusishwa na wizi wa mali ya umma kwa ushirikiano na baadhi ya maafisa wa Sudan Kusini.

Leave a Comment