Share

Imran ndiye mbunge wa Kibra

Share this:

Sasa ni bayana kuwa Bernard Okoth ,almaaruf Imran wa chama cha ODM ndiye mbunge katika uchaguzi mdogo uliofanyika hapo jana katika eneo bunge la Kibra ,kwa kuzua takriban kura 24,636 dhidi ya mpinzani wake wake wa karibu  macdonald mariga aliyepata kura 11,230.
 Ni uchaguzi uliozua  cheche za maneno baina ya viongozi wa chama cha Jubilee na wale wa ODM huku wadadisi wa kisiasa wakitumia uchaguzi huo  kama uzani  kujua ubabe wa naibu rais William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga .

Leave a Comment