Share

IEBC yaidhinisha saini 1.2m ya punguza mizigo

Share this:

Huenda taifa likaandaa kura yake ya kwanza ya maamuzi sasa baada ya IEBC kutangaza kuwa chama cha Thirdway Alliance kimetimiza angalau sahihi milioni moja zinazohitajika kuanzisha mchakato huo. Sasa ina maana mabunge ya kaunti yataanza kujadili mswaada huo ambao baadhi ya mengine unanuia kupunguza wabunge hadi 147 pekee.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment