Share

Idadi ya waliofariki katika mkasa wa Tassia kufikia sasa imefikia watu 10 kufikia jioni ya leo

Share this:

Idadi ya watu waliofariki kufuatia kuporomoka kwa jumba katika mtaa wa Tassia hapa Nairobi sasa imefikia kumi. Hii ni baada ya watu watatu zaidi kufukuliwa kutoka kwa vifusi vya jumba hilo, na kuongeza idadi ya wengi wawili walifukuliwa usiku wa kuamkia leo. Na huku watu kadhaa wakiripotiwa kutojulikana walipo, mtoto mdogo ni miongoni mwa waliookolewa akiwa hai.

Leave a Comment