Share

Idadi ya vijana wasio na ajira katika kaunti ya Taita Taveta inatarajiwa kupungua

Share this:

Idadi ya vijana wasio na ajira katika kaunti ya Taita Taveta inatarajiwa kupungua baada ya Chuo cha ufundi cha Chumvini kutoka kijiji cha Chala kutoa ajira kwa zaidi ya vijana 200 katika vijiji kadhaa katika eneo bunge la Taveta .

Leave a Comment