Share

Ibada kwa Jane Kiano

Share this:

Rais Uhuru Kenyatta aliwaongoza baadhi ya jamaa na rafiki waliojitokeza katika ibada ya wafu ya aliyekuwa mwenyekiti wa maendeleo ya wanawake Jane Kiano na kumtaja kuwa ni kama alikuwa mamake. Kiano alifariki tarehe 2 mwezi oktoba kisha mwili wake kuchomwa tarehe 27 mwezi huo kama alivyotaka. Saida swaleh na taarifa hiyo

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment