Share

Huduma ya kwanza kuokoa mtoto anaposakamwa

Share this:

Japo hakuna takwimu sahihi humu nchini za watoto wanaofariki baada ya kusakamwa na chakula kumekuwa na hofu kuwa idadi ya watoto wanaofariki kwa ajili hii ni kubwa mno. Hali hiyo inatajwa kuwa sababu ya nne ya vifo miongoni mwa watoto kote duniani. Na kama mwanahabari saida swaleh anavyoarifu ni kuwa maisha ya mtoto yanaweza kuokolewa kwa kufuata mambo kadhaa.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment