Share

Hospitali ya Mbagathi haina dawa

Share this:

Uhaba mkubwa wa dawa unashuhudiwa katika hospitali ya Mbagathi hapa Nairobi, huku sasa wakaazi wanaofika kutafuta huduma katika hospitali hiyo wakilazimika kujinunua dawa kwenye maduka ya kibinafsi. Ziara ya Runinga ya Citizen kwenye hospitali hiyo imebaini kuwa hata kina mama wanaojifungua na wanaohitaji dawa maalum kuwawezesha kujifungua hawapati dawa hizo.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment