Share

Hongo yawakaba: Maafisa 5 wa polisi wakamatwa

Share this:

Siku moja tu baada ya idara ya polisi kutajwa kama taasisi fisadi zaidi humu nchini na tume ya EACC, maafisa watano wa trafiki katika kaunti ya Kisumu wametiwa mbaroni baada ya operesheni iliyofanywa na maafisa wa eacc mapema hii leo.
Kama anavyotuarifu Kimani Githuku ilikuwa operesheni iliyojaa fujo huku afisa mmoja akimua kuwavyatulia risasi, maafisa hao na kumjeruhi mmoja.

Leave a Comment