Share

Hoja ya kutaka kujitenga yawasilishwa kwa IEBC na mbunge Peter Kaluma

Share this:

Mbunge wa Homa Bay mjini Peter Kaluma sasa ameanzisha rasmi mchakato wa kukusanya sahihi milioni 1 kutoka kwa wakenya katika juhudi za kufanikisha hoja yake ya kutaka kaunti 40 kujitenga kutoka Kenya.
Kaluma amewasilisha hoja ya kujitenga kwa tume ya IEBC akidai kaunti hizo 40 zimetengwa kimaendeleo huku kaunti saba pekee zikiwewa kipau mbele.

Leave a Comment