Share

Hisia tofauti zimeendelea kufuatia marufuku ya baadhi ya chapa za unga

Share this:

Kufuatia kupigwa marufuku kwa baadhi ya chapa za unga humu nchini kutokana na ripoti kuwa unga huo unaotengezwa na kampuni tano ulikuwa na viwango vya sumu ya Aflatoxin, wakaazi wa Kaunti ya Trans Nzoia wanataka msako kuanzishwa dhidi ya wanaoendelea kuuza bidhaa hiyo.

Leave a Comment