Share

Heshimuni mila na tamaduni zetu

Share this:

Rais Uhuru Kenyatta ameweka wazi msimamo wake kuhusu msimamo ndoa za jinsia moja, wiki moja kabla ya kongamano litakalofanyika wiki ijayo katika ukumbi wa KICC, amabpo suala hilo litajadiliwa.
Kenyatta amesema kuwa japo kongamno hilo litajadili masuala mengi na kati yake ni suala la Usenge, Kenya imeweka wazi msimamo wake.
Maoni yake yakiungwa mkono na maaskofu  kadhaa wanaosistiza kuwa ni kinyume cha mila za kiafrika, kuruhusu ndoa za jinsia moja.

Leave a Comment