Share

Hakuna mzozo wa kidiplomasia kati ya Kenya na Tanzania – Waziri Macharia

Share this:

Waziri wa uchukuzi James Macharia amepuzilia mbali madai ya kuwepo kwa mzozo wa kidiplomasia kati ya Kenya na Tanzania baada ya Tanzania kuzuia ndege za shirika la ndege la Kenya kuingia nchini Tanzania. Macharia amesema tayari ameshauriana na mwenzake wa Tanzania na akaelezea matumaini kwamba safari za ndege za moja kwa moja kutoka Kenya hadi Tanzania huenda zikarejelewa kesho. Hakikisho hilo lilitolewa huku safari za ndege za kimataifa zikianza humu nchini leo chini ya masharti makali ya usalama.

Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/

#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive

Leave a Comment