Share

Githeri ya sumu Baringo: Washukiwa 2 wazuiliwa

Share this:

Kizungumkuti kinazidi kuwachanganya wapelelezi kuhusiana na kifo cha wafanyikazi 4 waliokuwa miongoni mwa wafanyikazi 17 waliokula chakula chenye sumu kaunti ya Baringo Ijumaa iliyopita.
Kufikia sasa, 8 kati ya walionusurika wamehamishwa hadi Hospitali kuu ya rufaa mjini Eldoret na ile ya Mediheal kupokea matibabu kutokana na makali ya sumu tumboni mwao.

Leave a Comment