Share

“Githeri Man” Apata tuzo na mkahawa kupokea mapato ya mauzo ya githeri

Share this:

Mabadiliko kochokocho yamezidi kumuandama Martin Kamotho jina tajika ‘Githeri Man’ hii ni baada ya jina lake kuenea kwenye mitandao ya kijamii.
 Hivi sasa baadhi ya wafanyibiashara ikiwemo hoteli ya “Big Square” imempa fursa ya kujiinua kimaisha..Hii ni baada ya meneja wa hoteli hiyo kuongeza chakula aina ya githeri kwenye menu wakitenga kiasi watakachopata kupitia uuzaji wa githeri kwenye akaunti yake.

Leave a Comment