Share

Gavana wa Nairobi kufikishwa mahakamani hapo kesho

Share this:

Gavana wa Nairobi Mike Sonko aliyekamatwa tangu siku ya Ijumaa atafikishwa mahakamani hapo kesho kushtakiwa kwa madai ya ufujaji wa pesa za umma kutumia ofisi yake. Haya yanajiri huku sasa Magavana wenzake wakiitisha mkutano maalum na rais Uhuru Kenyatta kujadili mustakabali wa kaunti ya Nairobi ikizingatiwa kuwa Sonko hana naibu gavana.

Leave a Comment