Share

Gavana, Seneta wa Isiolo watofautiana mbele ya kamati ya seneti

Share this:

Tofauti kati ya gavana wa Isiolo Mohammed Kuti na Seneta wa kaunti hiyo Fatuma Dullo zilidhihirika wakati wa kikao na maseneta hii leo. Tofauti hizo zilijidhihirika zaidi wakati wa mazungumzo kuhusu mradi wa utoaji wa huduma za afya kwa wakaazi wa Isiolo. Seneta Dullo alimsuta Gavana Kuti akilalamikia mpango wa kaunti hiyo kutoa kandarasi ya kusambaza huduma za afya iliyogharimu shillingi milioni 464 kila mwaka, bila kufuata sheria zilizopo. Gavana alikuwa mbele ya kamati ya uhasibu wa fedha za umma.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment