Share

Gavana Mike Sonko asisitiza ubomoaji utaendelea

Share this:

Afisi ya mkurugenzi wa upelelezi wa jinai sasa imewataka wamiliki wa majengo yanayobomolewa kuwasilisha malalamishi yao katika afisi hiyo.
Aidha afisi hiyo imewataka wamiliki wa majengo ambayo yako karibu na mito au chemichemi za maji na wanaoshuku majengo yao huenda yakabomolewa kuwasilisha stakabadhi walizonazo kwa ukaguzi kujua iwapo yatabomolewa au la.
Haya yanajiri huku tume ya kupambana na ufisadi EACC ikisema kuwa ufisadi katika afisi za serikali ndio chanzo kikuu cha udhia huu.

Leave a Comment