Share

Fred Matiang’i aonya kuwa wageni wanaoingilia biashara kiholela kutimuliwa

Share this:

Waziri wa usalama wa ndani dakta Fred Matiang’i kwa mara nyingine tena amewaonya wanasiasa dhidi ya kuchochea umma na kupalilia chuki.
Matiang’i anaonya kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watakaopatikana kutoa matamshi ya chuki akisema kila mkenya ana haki ya kuishi mahali popote nchini.
Aidha amesisitiza kwamba raia wa kigeni waliomo nchini na  wanaoendesha biashara kiholela bila vyeti halali watarejeshwa makwao

Leave a Comment