Share

Feri za mauti : Shughuli ya upasuaji yakosa kufanywa

Share this:

Shughuli ya upasuaji wa mwili wa marehemu Mariam Kigenda na bintiye  Amanda Mutheu walioangamia bahari hindi kufuatia ajali ya feri imeahirishwa baada ya serikali kuijulisha familia kwamba daktari mkuu wa upasuaji serikalini Johansen Oduor yuko likizoni kwa sasa.
Familia ya Kigenda ambayo ilitarajiwa kuandikisha taarifa katika kituo cha polisi cha ferry vilevile haikufanikisha shughuli hiyo.
Hayo yamejiri huku  shirika la  feri nchini likionekana kuzembea kazini huku feri zikizidi kuhatarasha maisha ya watu hata kabla ya mama na bintiye kuzikwa.

Leave a Comment